20 DAYS PUMU KWHERI, NJOO UTIBIWE PUMU NDANI YA SIKU 20, DAWA ZETU NI KUTOKA NDANI NA NJE YA NCHI CLICK HERE👆👆


 UJUE UGONJWA WA ASTHMA(PUMU)

CHANZO DALILI TIBA SAHIHI


ASTHMA (PUMU)

IS A CHRONIC LUNG DISEASE RESULTING FROM INFLAMMATION, MUSCLE TIGHTENING AROUND THE AIRWAYS AND NARROW WHICH MAKES IT HARDER TO BREATH

👉NI UGONJWA WA MFUMO WA MAPAFU UNAOSABABISHA NJIA ZA HEWA KUVIMBA NA KUWA NYEMBAMNA NA KUBANA KITENDO AMBACHO KINAPELEKEA SHIDA YA KUPUMUA


DALILI ZA PUMU AMA ASTHMA

👉Kuziba kwa njia za hewa (airways blockadge) unapopumua Kama kawaida bend za misuli karibu na njia zako za hewa hulegea,  na hewa husogea kwa uhuru, lakini unapokuwa na pumu misuli hukaza na huwa vigumu hewa kupita.


👉Kuvimba (Inflammation)

Pumu husababisha mirija ya koromeo kuwa nyekundu na kuvimba kwenye mapafu, kuvimba huku kunawez kuharibu mapafu yako NB ukithibit Hali hii utakuwa umetibu pumu moja kwa moja


👉Kuwashwa kwa Nia ya hewa (airways irritability)

Watu walio na pumu ni rahisi sana kudhurika pale wanapogusana na vichochezi kidogo(SLIGHT TRIGGERS)


✍️Matatizo hayo yanaweza kusababisha dalili Kama vile

-kukohoa haswa usiku au asubuh

-kupumua, sauti ya mluzi unapopumua,

-upungufu wa pumzi, maumivu au shinikizo la presha kwenye Kifua chako

-ukosefu wa usingizi kwa sababu ya shida ya kupumua


NB sio kila mwenye pumu anadalili zinazofanana, huenda usiwe na dalili izo zote


DALILI ZA HATARI ZAIDI

-Kupumua haraka

-ngozi yako karibu na mabafu na Kifua  kuvuta ndani wakati wa kupumua

-uso uliopauka, mdomo au kucha kuwa na rangi ya blue

-kupata shida ya kupumua wakati wa kutembea au kuzungumza


SABABU NA VICHOCHEO VYA PUMU

✍️Sababu hasa ya pumu haijawekwa wazi 

ila tukirud kwenye maana halis ya pumu huenda ikawa moja Kati ya sababu za pumu


✍️Vichocheo vya pumu ni pamoja na

-hali ngumu ya upumuaji

-hewa baridi

-moshi wa tumbaku

-pollern

-vumbi (duster)

-dander

-hewa ya utitir

-uchafuzi wa hewa

-marashi makali

-baadhi ya Dawa Aina za better blocker eg Aspirine, ibuprofen, naproxen sodium.

-spora za ukungu 

-kemikali

-mambo yanayosababisha mwitikio wa dhiki Kama vile mazoez, mvutano, hisia kali nk...

-ugonjwa wa gastroesophageal reflux(GERD

-magonjwa ya kupumua na maambukizo ya njia ya upumuaji Kama vile homa ya kawaida

-vihifadhi katika matunda, na vyakula vya asili Kama vile uyoga, shrimp nk...


AINA ZA PUMU(TYPES OF ASTHMA)

✍️allergic asthma(pumu ya uzio)

✍️Non allergic asthma(pumu isiyokuwa ya uzio)

✍️Seasonal asthma(pumu ya msimu)

✍️'Exercise induced' asthma(pumu itokanayo na mazoez

✍️Severe asthma(pumu kali sana)

✍️Easnophilic asthma

✍️Childhood asthma(pumu ya kipind Cha utoto)

✍️Pumu ya utu uzima

✍️Pumu ya kazi

✍️Pumu ngumu

✍️Pumu ya brittel


MATIBABU

Tiba endelevu ya kutibu pumu bila KUJIRUDIA Tena kutoka mkombozi herbal clinic

Tunazo Dawa Bora za kuondo narrowing, inflammation, na ukungu katika njia za hewa (airways) Dawa hizi zinatanua mishipa, kutibu uvimbe kwenye njia za hewa na kutibu bacteria mojakwamoja kwenye njia za upumuaji


Ata Kama ukikabiliana na Vichocheo vya pumu, hutaweza kupata pumu katika MAISHA yako 


👉Dawa zetu ni kutoka ndani na nje ya nchi, ZIMETHIBITISHWA na ziamrejesho mzur kwa watumiaji, wengi WALIOTUMIA zimewasaidia


Njoo na ww uwahi Dawa yako, utapona usiendelee kuteseka


Kumbuka kila ugonjwa unatibika, jali afya yako USIKATE tamaa.


Bei ni tsh 160000/=


Pia unaruhusiwa kuanza na nusu Dozi


🤝MALIPO kwa 1;mpesa LIPA no 5125775(ADAM JUMA NDUNGO)

AU

LIPA KWA CARD BANK a/c 0152830892400 (ADAM JUMA NDUNGO)


ukilipia tuma ujumbe wa MALIPO yaan payslip kwa namba hii 0753 555 460 SEMA kuwa nimelipia DAWA YA PUMU, NB UAMINIFU NDIO KIPAOMBELE CHETU.


AU WASILIANA NASI MOJAKWAMOJA KWA 0753 555 460 KWA MAELEZO ZAID